Proverbs 1:18-19

18 aWatu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe;
hujivizia tu wenyewe!
19 bHuu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila;
huuondoa uhai wa wale wenye mali.
Copyright information for SwhNEN